
Mtu yeyote
Mahali popote
Wakati wowote
Safu pana zaidi ya bidhaa, masoko, na majukwaa pamoja na msaada kwa mteja 24/7.
Fanya biashara kwa kujiamini
Kwa zaidi ya miaka 25, Deriv Group imekuwa mshirika wa kuaminika kwa wafanyabiashara duniani kote.
Best Trading Experience - Global
UF Awards
2025
Year-Global
Broker
2024
Service - Global
Awards 2024
Masoko yako yote mahali pamoja
Forex
Forex
Fanya biashara ya jozi maarufu za sarafu zikiwa na leverage ya juu, tight spreads, na utekelezaji wa haraka.
Indeksi za Derived
Derived Indeksi
Fanya biashara 24/7 kipekee kwenye Sintetiki na Derived Indeksi. Chagua viwango vya mabadiliko vinavyolingana na mkakati wako.
Hisa
Bidhaa
Bidhaa
Fanya biashara ya madini ya dhahabu, fedha, mafuta, gesi asilia, sukari, na zaidi.
Cryptos
Cryptos
Fanya biashara muda wote kwenye volatility za cryptocurrencies kama Bitcoin na Ethereum.
Indeksi za Hisa


Fanya biashara kila mchanausiku
Cryptocurrencies na Sintetiki Indeksi zetu za kipekee zinapatikana masaa 24/7.
Fanya biashara jinsi unavyotaka
Nguvu ya MT5 na biashara ya 24/7
Nguvu ya MT5 na biashara ya 24/7
Deriv MT5 inakuletea jukwaa linalopendwa duniani kwa uwanda wake mpana zaidi wa forex, hisa, bidhaa, cryptocurrencies, na Derived Indeksi za kipekee zikiwa na gawio sifuri.
Malipo yaliyoboreshwa, hatari ndogo
Malipo yaliyoboreshwa, hatari ndogo
Kwenye Deriv Trader, hutapoteza zaidi ya kile ulichoweka. Jua hatari yako kubwa mapema unapochagua biashara katika masoko ya kimataifa na viashiria vinavyofanya kazi muda wote.
Pesa yako, njia yako
Uwekaji pesa wa haraka, utoaji rahisi, na chaguzi nyingi za malipo ina maana kuwa pesa zako zinapatikana kila wakati.
*Upatikanaji wa njia za malipo na kasi ya ushughulikiaji huweza kutofautiana kulingana na eneo na chaguo la malipo lililochaguliwa.
Pata majibu unapohitaji
Hatuna masaa ya kufungua au kufunga. Hii ina maana unaweza kuzungumza na watoa huduma wetu wa Msaada wakati wowote unapohitaji, popote ulipo.
Anza kwa hatua 3 rahisi
Jisajili
Jisajili ndani ya dakika chache. Fanya mazoezi na akaunti ya demo isiyo na hatari.

Kuweka
Tumia njia yako ya malipo ya ndani unayopendelea kuweka pesa kwenye akaunti yako.

Biashara
Anza safari yako ya biashara.

