75% ya akaunti za wawekezaji wa rejareja hupoteza pesa wanapofanya biashara ya CFDs na Deriv. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.

CFD ni vyombo tata vyenye hatari kubwa ya kupoteza pesa haraka kutokana na leverage. 75% ya akaunti za wawekezaji wa rejareja hupoteza pesa wanapofanya biashara ya CFDs na mtoa huduma huyu. Unapaswa kuzingatia ikiwa unaelewa jinsi bidhaa hizi zinavyofanya kazi na ikiwa unaweza kumudu kuchukua hatari kubwa ya kupoteza pesa zako.

Kanuni zetu

Kanuni na maadili yetu ni muhimu sana katika kufafanua sisi ni nani, kwa nini tunafanya kile tunachofanya, na jinsi tunavyowatendea wateja wetu na kila mmoja wetu. Tumejitolea kwa kanuni zifuatazo katika kila jambo tunalofanya.

3D silver ribbon badge with a red circular center.Stack of paper documents with a red checkmark symbol in front indicating approval.

Kuwa mwaminifu

Tunajenga imani kwa kutoa huduma sahihi, za haki, na kwa wakati unaofaa, kuanzia makubaliano sahihi ya mkataba na miamala yenye ufanisi hadi mifumo ya biashara yenye kuaminika na msaada wa wateja unaojali.

Kuwa mwadilifu

Tunawatendea wateja wote kwa usawa, kutatua matatizo kwa uadilifu, na kudumisha bei zinazoonekana wazi, zenye ushindani bila ada au vizingiti vilivofichwa, tukidumisha haki katika shughuli zetu zote.

Kuwa wazi

Tunawasiliana kwa uwazi na wazi kuhusu bidhaa zetu, hatari, na jinsi tunavyopata mapato — tukitoa uzoefu halisi wa biashara unaosaidia wateja kufanya maamuzi yenye maarifa.

Kuwa mwajibikaji

Tunaendesha shughuli zetu kwa uadilifu na kwa tahadhari, tukiepuka mbinu au ahadi za udanganyifu huku tukilinda watumiaji wanyonge na kuzuia shughuli haramu katika majukwaa yetu.