Upatikanaji rahisi wa fedha zako
Weka au toa pesa kwa njia ya malipo unayopendelea. Haraka, bila bughudha, vile utakavyo.
Fanya biashara za CFDs hisa kwenye chapa unazozipenda kama vile TSLA, AMZN, na AAPL bila ya kuwa na umiliki halisi. Dhibiti hatari huku unafurahia tight spreads na unyumbulifu wa kufanya biashara kwa muda mrefu au mfupi kwenye hisa za ulimwengu katika tasnia zote.

Weka au toa pesa kwa njia ya malipo unayopendelea. Haraka, bila bughudha, vile utakavyo.
Linda akaunti yako dhidi ya mabadiliko yasiyotarajiwa ya soko.
Ongeza faida yako inayowezekana bila kuwa na wasiwasi juu ya ada au gharama za ziada.
Hisa za teknolojia zinawakilisha kampuni zinazoongoza mapambano katika mageuzi ya kidigitali na mafanikio.
Kampuni hizi zinaunganisha ulimwengu, na kusafirisha watu na bidhaa katika sehemu mbalimbali.
Fanya biashara na kampuni zinazoongoza kwa huduma za kifedha ulimwenguni, kuanzia benki, bima hadi fintech.
Kampuni hizi ziko mstari wa mbele katika uvumbuzi wa matibabu na teknolojia ya afya.
Kampuni za bidhaa kwa watumiaji wa rejareja huendana na mienendo na tabia za jamii.
Sekta hii inawakilisha makampuni yanayounda jinsi tunavyotazama, kusikiliza, na kucheza.
Tabiri juu ya mwenendo wa bei za Hisa maarufu ukiwa na leverage kubwa na viashiria vya kiufundi vya hali ya juu.