Biashara 24/7
Sintetiki Indeksi zinapatikana saa-zote, ikijumuisha wikendi na sikukuu za umma.
Fanya biashara ya Derived Indeksi zetu za kipekee zinazoiga masoko ya ulimwengu halisi saa 24, siku 7 za wiki. Chagua soko lenye volatility kulingana na mtindo wako wa biashara.
.webp)
Jitose kwenye biashara ya Sintetiki Indeksi 24/7. Vyombo hivi vinazalishwa na kielelezo cha nambari za nasibu zenye usalama wa kikriptografia. Huiga masoko halisi lakini haziathiriwi na habari za ulimwengu halisi au mabadiliko ya soko.
Sintetiki Indeksi zinapatikana saa-zote, ikijumuisha wikendi na sikukuu za umma.
Masoko ya kuiga ambayo hayaathiriwi na masaa ya kawaida ya soko au hatari za masoko halisi na ukwasi.
Chaguzi nyingi rahisi, haraka, na salama kwa uwekaji na utoaji.
Chagua kutoka kwa anuwai ya mabadiliko ya mara kwa mara kuanzia 50% hadi 100%. Zaidi ya hayo, weka kasi yako na tick kwa kila sekunde 2 kwa kasi ya kawaida, au kila sekunde moja kwa hatua za haraka.
Chagua kutoka Crash Indeksi kwa kushuka ghafla au Boom Indeksi kwa ongezeko la haraka. Piga hatua katika vyombo ambapo soko lina crash au boom kila ticks 500 kwa wastani.
Vyombo hivi hubadilika kati ya mwenendo wa bullish, bearish, au side-ways. Hufaa kwa ununuzi mzuri, uuzaji wa kimkakati, na kupumzika kwa wakati unaofaa. Na sehemu bora ni kwamba? Mabadiliko yanayotabirika kwa muda wa wastani wa dakika 10, 20, au 30 yanamaanisha unaweza kutabiri na kupanga mapema.
Tarajia mabadiliko makubwa kila baada ya dakika 10, 15, au 25 (kwa wastani) na mabadiliko madogo katikati.
Tarajia bei kuruka kila baada ya dakika 20 (kwa wastani), ikiwa na nafasi sawa ya kupanda au kushuka karibu mara 30 ya volatility ya kawaida ya indeksi. Na unaweza kuchagua kutoka kwenye 10%, 25%, 50%, 75%, na 100% volatility.
Kwa kila tick, bei ya chombo hiki inapanda au kushuka kwa 0.3, 0.4, au 0.5 – hakuna mabadiliko makali au mitindo tata. Mwenendo hurekebishwa, hatua kwa hatua.
Tabiri juu ya mwenendo wa bei za Sintetiki Indeksi maarufu ukiwa na viashiria vya kiufundi vya hali ya juu.
Zidisha faida inayoweza kupatikana kwenye Sintetiki Indeksi bila kuhatarisha zaidi ya dau lako la awali.