April 21, 2022
Biashara ya CFD vs biashara ya chaguzi kwenye Deriv
Biashara ya CFD na chaguzi inawawezesha wafanyabiashara kutabiri mwelekeo wa bei ya mali bila kununua au kumiliki mali hiyo kimsingi. Zaidi ya hayo, yote yanahitaji mtaji mdogo kufungua biashara. Hata hivyo, ingawa kuna mfanano, hizi derivatives zinatofautiana katika jinsi zinavyofanya kazi.