July 28, 2022
Jinsi ya kuweka vigezo vya hiari ili kuboresha mkakati wako wa Deriv Bot
Kuunda mkakati wa biashara wa msingi kunakupa bot ya biashara inayo fanya kazi kikamilifu. Mara tu unapoweka vizuizi vyako vya lazima na kuingiza baadhi ya vigezo vya juu, Deriv Bot yako inaweza kufanya biashara kwa niaba yako kiotomatiki.