September 5, 2022
Habari za soko – Wiki ya 1, Septemba 2022
Kabla, Mwenyekiti wa Benki Kuu ya Marekani Jerome Powell aliwaambia wafanyabiashara katika Jackson Hole kuwa Benki Kuu ya Marekani imejizatiti katika kuongeza viwango vya riba na kupambana na mfumuko wa bei hadi itakapofanya "kazi yake ipasavyo". Wiki iliyopita, masoko ya kifedha yalionekana kuchukua onyo hilo kwa umakini.