Ninawezaje kuingia kwenye akaunti yangu ya Deriv MT5?
Unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya Deriv MT5 kupitia desktop app ya MT5, web terminal, au app ya simu mkononi. Utahitaji kitambulisho cha kuingia na jina la seva kutoka kwenye maelezo ya akaunti yako ya Deriv MT5. Tafadhali tumia nenosiri lako la Deriv MT5 kuingia kwenye Deriv MT5.









