Forex ni nini?
Ubadilishaji wa fedha za kigeni, au forex, ni soko la kimataifa la sarafu za dunia, ambapo thamani za sarafu mbalimbali hushindana dhidi ya nyingine katika mfumo wa jozi za forex, kama vile EUR/USD, AUD/JPY, n. k. Soko la forex huamua viwango vya ubadilishaji wa kila sarafu.









