Kalkuleta ya biashara

Tumia margin yetu, thamani ya pip, na kalkuleta ya ubadilishanaji ili kukadiria hizi thamani kwa biashara zako zote za CFD kwenye Deriv MT5, Deriv cTrader, na Deriv X.

Kalkuleta

Tafadhali chagua alama.
Alama
Ukubwa wa mkataba =
-
Ukubwa wa pip=
-
Ufanisi wa leverage=
-
Ukubwa wa pointi=
-
Tafadhali ingiza kiasi cha lots.
Tafadhali ingiza bei ya mali.

Asante kwa kuwasilisha taarifa zako. Timu yetu itawasiliana nawe hivi karibuni.

Fomu imeshindwa kuwasilishwa kutokana na makosa. Tafadhali wasilisha fomu tena.

Asante kwa kuwasilisha taarifa zako. Timu yetu itawasiliana nawe hivi karibuni.
Lo! Kuna changamoto imetokea wakati wa kuwasilisha fomu.

Matokeo

Margin Inayohitajika

$

Kiasi cha Biashara

$

Thamani ya Pip

$

Makato ya Swap Long

shilingi

Kiwango cha swap long =
-

Makato ya Swap Short

$

Kiwango cha swap short =
-
Aina ya ukokotozi wa ubadilishanaji:
-
Ubadilishanaji wa siku tatu:
-
Ubadilishanaji wikiendi:
-

Asante kwa kuwasilisha taarifa zako. Timu yetu itawasiliana nawe hivi karibuni.

Fomu imeshindwa kuwasilishwa kutokana na makosa. Tafadhali wasilisha fomu tena.

Asante kwa kuwasilisha taarifa zako. Timu yetu itawasiliana nawe hivi karibuni.
Lo! Kuna changamoto imetokea wakati wa kuwasilisha fomu.

Ukokotoaji wa biashara

Ukokotoaji margin

Fomula:

Margin Inayohitajika = Kiasi ÷ Leverage Inayofanya kazi*

* Tumia mgawanyiko wa uwiano wa Leverage Inayofanya kazi, 1 : XXXX.

Kiasi kinakokotolewa kulingana na fomula ifuatayo:

Forex: Lots x Ukubwa wa mkataba x BSE/USD*

Nyingine: Lots x Ukubwa wa Mkataba x Bei ya Utekelezaji x BSE/USD**

*BSE/USD ni kiwango cha kubadilisha kutoka sarafu ya msingi (BSE), inayoitwa "Sarafu ya Margin" katika MT5, hadi USD.
**QTE/USD ni kiwango cha kubadilisha kutoka sarafu ya nukuu (QTE), inayoitwa "Sarafu ya Faida" katika MT5, hadi USD.

Mfano:

Unafanya biashara ya lots 0.25 za EUR/GBP na leverage ya 1:1000. Kiwango cha kubadilisha EUR hadi USD ni 1.10634.

Margin inayohitajika ni USD 27.66 ili kufungua nafasi iliyoainishwa hapo juu.

Kumbuka: Haya ni makadirio tu ya thamani na hutofautiana kulingana na leverage ambayo umewekwa katika akaunti yako na mali unayotaka kufanyia biashara.

Ukokotoaji pip

Fomula:

Pip thamani USD: Ukubwa wa Pip* x Lots x Ukubwa wa Mkataba x QTE/USD*

*QTE/USD ni kiwango cha kubadilisha kutoka sarafu ya nukuu (QTE), inayoitwa "Sarafu ya Faida" katika MT5, hadi USD.

Mfano:

Unafanya biashara ya lots 0.25 za EUR/GBP, ukiwa na kiwango cha kubadilisha GBP hadi USD cha 1.31386.

Ukokotoaji utakuwa:

Hii inamaanisha kwamba kwa kila mwenendo wa pip ya EUR/GBP, faida au hasara yako (PnL) itabadilika kwa USD 3.28.

Kumbuka: Hizi thamani ni makadirio na zinaweza kutofautiana kulingana na leverage iliowekwa kwenye akaunti yako na mali unayofanyia biashara.

Ukokotoaji wa ubadilishanaji (Katika pointi)

Fomula kwa ajili ya ubadilishanaji katika pointi:

Ubadilishanaji = Lots x Ukubwa wa Mkataba x Ukubwa wa Pointi* x Kiwango cha Swap x QTE/USD**

*Ukubwa wa Pointi = 10-tarakimu. (tarakimu zinaweza kupatikana katika jedwali la maelezo ya chombo katika kituo chako cha biashara)

**QTE/USD ni kiwango cha kubadilisha kutoka sarafu ya nukuu (QTE), inayoitwa "Sarafu ya Faida" katika MT5, hadi USD.

Mfano:

Unashikilia nafasi fupi ya lots 0.2 za AUD/JPY usiku kucha, ambayo ina ukubwa wa pointi wa 0.001 na kiwango cha swap short cha -12.92. Kiwango cha kubadilisha JPY hadi USD ni 0.00681.

Hii inamaanisha kuwa makato ya kubadilishana ni USD 1.76 ili kuweka nafasi wazi usiku kucha.

Kumbuka: Hizi thamani ni makadirio na zinaweza kutofautiana kulingana na leverage uliopewa katika akaunti yako na mali unayofanyia biashara.

Ukokotoaji wa ubadilishanaji (Katika asilimia)

Fomula kwa ajili ya ubadilishanaji katika asilimia:

Ubadilishanaji = (Lots x Ukubwa wa Mkataba x Bei ya Rollover*) x (Kiwango cha Ubadilishanaji ÷ 100) ÷ 360 x QTE/USD**

*Bei ya Rollover = Bei ya mwisho ya siku kabla ya ubadalishanaji kukamilishwa, kawaida ni saa 20:59 au 21:59 GMT.
**QTE/USD ni kiwango cha ubadilishaji kutoka kwa sarafu ya nukuu (QTE), inayojulikana kama "Sarafu ya Faida" katika MT5, hadi USD

Mfano:

Unashikilia nafasi ndefu ya lots 0.2 ya Ufaransa 40 usiku kucha, ambayo ina kiwango cha ubadilishanaji mrefu wa -5.46 na bei ya rollover ni 7,654. Kiwango cha kubadilisha EUR hadi USD ni 1.10722.

Hii inamaanisha kuwa makato ya ubadilishanaji ni USD -0.26 ili kuweka nafasi wazi usiku kucha.

Kumbuka: Hizi thamani ni makadirio na zinaweza kutofautiana kulingana na leverage uliopewa katika akaunti yako na mali unayofanyia biashara.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kalkuleta ya biashara ni nini?

Kalkuleta ya CFDs ya biashara Deriv ni zana ya biashara inayoweza kusaidia wafanyabiashara kukokotoa data muhimu kama margin inayohitajika, thamani ya pip ya biashara zako, na makato ya ubadilishanaji yanayohitajika kuweka nafasi wazi usiku kucha. Hizi thamani zinaweza kusaidia kufanya maamuzi bora katika biashara zako.

Je, kalkuleta ya biashara ya CFD ina usahihi kiasi gani?

Kalkuleta yetu imesanifiwa kutoa majibu sahihi kadri iwezekanavyo kwa kutumia fomula za kiviwanda. Hata hivyo, tafadhali kumbuka kuwa biashara ina hatari, na matokeo yanaweza kutofautiana kulingana na leverage ya akaunti yako na chombo unachofanyia biashara.

Je, kalkuleta ya margin ni nini?

Kalkuleta ya margin husaidia kubaini margin inayohitajika ili kufungua na kudumisha biashara, kuhakikisha una mtaji wa kutosha katika akaunti yako kabla ya kuweka nafasi.

Je, kalkuleta ya pip ni nini?

Kalkuleta ya pip inakokotoa thamani ya pip katika fedha, kukusaidia kukadiria faida au hasara kulingana na ukubwa wa biashara.

Je, kalkuleta ya swap ni nini?

Kalkuleta ya ubadilishanaji inabainisha riba ya usiku (swap) utakayopata au kulipa kwa kushikilia nafasi usiku kucha, ambayo ni muhimu kwa biashara za muda mrefu.