Sisi ni nani

Deriv ni mmoja wa broker wakubwa wa mtandaoni ulimwenguni. Tunatoa CFDs na derivative nyingine kwenye forex, hisa & indeksi, cryptocurrencies, bidhaa, na derived indeksi kwa mamilioni ya watumiaji waliosajiliwa kote duniani.

Tangu mwanzo, lengo letu lilikuwa kuwa huru dhidi ya gawio kubwa na bidhaa babaifu zinazotolewa na broker wa jadi. Pia, tunalenga kutoa uzoefu wa daraja la kwanza kwa wafanyabiashara wenye mwelekeo wa kidigitali, bila kujali ukubwa wa akaunti zao.

Mwaka huu Deriv inasherehekea miaka 25 tangu kuanzishwa, na tunasherehekea urithi wa ubunifu na kujitolea kwa kufanya biashara ipatikane kwa kila mtu, mahali popote. Katika kipindi cha miaka ishirini na tano iliyopita, tumekua na kuwahudumia wateja zaidi ya milioni 2.5 duniani kote, tunaendelea kuimarika ili kukidhi mahitaji ya soko na wateja wetu. Hatua hii ni ushahidi wa kujitolea kwetu kwa wafanyabiashara tunao hudumia.

Collage of Deriv employees participating in different activities

2.5M +

Wafanyabiashara ulimwenguni kote

USD 46M+

Utoaji wa kila mwezi

187M+

Biashara za kila mwezi

USD 15T+

Jumla ya mauzo ya biashara

Maadili yetu ni kiini cha utamaduni wetu

An illustration representing the deriv value of having integrity

Uadilifu

Tunahudumia wateja wetu kwa haki na uwazi. Tunaweka mikataba yote kwenye kitabu na tunazungumza kwa uwazi na kwa ukweli.

An illustration representing customer focus, which is one of Deriv’s core values.

Uzingatiaji wa mteja

Tunamtanguliza mteja na kujitahidi kutengeneza bidhaa zinazotoa hali bora zaidi ya utumiaji kwa mteja.


An illustration representing competence, which is one of Deriv’s core values.

Umahiri

Tunathamini wenzetu wenye uwezo wa kufanya uamuzi bora na uwezo wa kujifunza na kukua.


An illustration representing teamwork, which is one of Deriv’s core values.

Ushirikiano wa kazi

Tunathamini wanatimu ambao wanashirikiana kwa uhuru katika idara zote kwa unyenyekevu na matamanio.


Vyeti vyetu

Tuna furaha kutambuliwa kama Mahali Bora pa Kazi™ kwa ubora katika utamaduni wetu wa kazi na kuridhika kwa wafanyakazi wetu. Cheti chetu cha Platinum in Investors in People kinadhihirisha kujitolea kwetu kwa maendeleo ya wafanyakazi.

Our principles are the framework for our decisions

An illustration representing one of Deriv’s core principles to be reliable.

Kuwa mwaminifu

An illustration representing one of Deriv’s core principles to be fair.

Kuwa mwadilifu

An illustration representing one of Deriv’s core principles to be transparent.

Kuwa wazi

An illustration representing Derivs core value of being responsible

Kuwa mwajibikaji

Maeneo tunayopatikana

George Town
Cayman Islands
Road Town
British Virgin Islands
Asunción
Paraguay
Ciudad del Este
Paraguay
Reading
United Kingdom
London
United Kingdom
Berlin
Ujerumani
Guernsey
Visiwa vya Channel
Paris
Ufaransa
Birkirkara
Malta
Limassol
Cyprus
Amman
Jordan
Kigali
Rwanda
Ipoh
Malaysia
Cyberjaya
Malaysia
Singapore
Singapore
Melaka
Malaysia
Labuan
Malaysia
Port Vila
Vanuatu
Dakar
Senegal

1,300+

Wafanyakazi

80+

Mataifa

20

Maeneo

15

Nchi