Ninawezaje kuanza kutumia Deriv P2P?
Ili kutumia Deriv P2P, unahitaji kuthibitisha akaunti yako ya Deriv kwa yafuatayo:
- Uthibitisho wa utambulisho
- Uthibitisho wa anwani
- Nambari ya simu au barua pepe iliyothibitishwa
- Jina la utambulisho kwa wasifu wako wa Deriv






